Latest News


More

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

Posted by : Unknown on : Saturday, October 26, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :


KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP
Kwaya kuu ya Usharika wa Azania Front imeibuka washindi wa jumla katika mashindano ya uimbaji kwa kwaya kuu yaliyofanyika leo katika Usharika wa Mbezi Beach

Katika mashindano hayo yaliyoshirikisha jumla ya kwaya 14 mshindi wa pili ni kwaya ya Usharika wa Mbezi Luis na kwaya mshindi wa tatu ni kwaya kuu ya Usharika wa Ukonga
Kwaya kuu ya Usharika wa Azania imeibuka kidedea baada ya kuwa mshindi wa wimbo wa siku na wimbo wa Utamaduni
Kwaya kuu ya Mbezi Luis imeibuka mshindi wa wimbo wa chaguo
Mshindi wa kwanza mpaka wa tatu wamepewa zawadi ya kikombe na cheti cha kushiriki



Saved under :

No comments:

Leave a Reply