Latest News


More

WASHARIKA WA K.K.K.T MWENGE WASHIRIKI CHAKULA CHA BWANA

Posted by : Unknown on : Wednesday, December 25, 2013 0 comments
Unknown
Washarika wa Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T jumatano ya leo wameshiriki chakula cha bwana katika ibada ya Kristmas
Katika ibada hiyo iliyohudhuriwa na washarika wengi iliongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi akisaidiana na mchungaji Juliana wa Dayosisi ya Konde
Pichani juu ni baadhi ya washarika wakishiriki chakula cha bwana

No comments:

Leave a Reply