Latest News


More

WAKAZI WA JIJI LA DAR WALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA CHRISTMAS

Posted by : Unknown on : Friday, December 27, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Siku ya Kristmas wakazi wengi walisherehekea kwa staili mbalimbali.Katika maeneo mengi ya wazi watu wengi walijazana na watoto wakiwa ni wengi zaidi
Mfano Quality Centre watu walijaa mpaka ikabidi watu wawe wanaingia kwa foleni kama inavyoonekana kwenye picha chini na juu
Pia maeneo kama Mlimani Centre, Coco Beach na maeneo ya wazi nyuma ya Hospitali ya Agha Khan
Ila karibu maeneo yoto hali ya utulivu ilitanda na hakukua na fujo au uvunjifu wowote wa amani



No comments:

Leave a Reply