Latest News


More

FAMILIA YA GODILISTEN LEMA NA FAMILIA YA NATHAI YAMTOLEA MUNGU SADAKA YA SHUKURANI

Posted by : Unknown on : Sunday, January 26, 2014 0 comments
Unknown

Leo katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge familia ya Godilisten Lema na familia ya Nathai wamemtolea Mungu sadaka ya shukurani pamoja na mwanafunzi wa Alpha Sekondari

Tukio hilo limefanyika katika ibada ya pili iliyoanza saa moja na nusu kanisani hapo
Katika shukrani hiyo familia hizo mbili zilimtolea Mungu sadaka ya shukurani kwa mambo makuu ambayo Mungu aliwatendea mwishoni mwa mwka jana
Pichani juu mstari wa mbele ni mwanafunzi wa Alpha ambaye alikua anakumbuka siku yake ya kuzaliwa, bwana Godilisten Lema na mke wake pamoja na mpwa wake Godilistena Lema.Nyuma ni ndugu , jamaa na marafiki waliowasindikiza kutoa sadaka hiyo ya shukurani wakiwa madhabahuni

 Pichani juu ni ndugu jamaa na marafiki waliowasindikiza familia ya Lema na Nathai
Ibada hiyo iliongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi (pichani juu)akisaidiana na mchungaji Erasto Shaila wa makao makuu ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani






No comments:

Leave a Reply