Semina hii inafanyika katika viwanja vya jangwani ambapo kutakuwepo na vikundi mbalimbali vya kusifu na kuabudu pamoja na kwaya mbalimbali zitakuwepo
Hakuna kiingilio na semina hii ni ya watu wa dini zote, rika zote na makabila yote
"WATU WOTE MNAKARIBISHWA"
No comments: