Latest News


More

KONGAMANO LA VIJANA WA USHARIKA WA MWENGE LAFANA PUGU KAJIUNGENI

Posted by : Unknown on : Monday, April 21, 2014 0 comments
Unknown
Vijana wa kanisa LA K.K.K.T Usharika wa Mwenge mwishoni mwa wiki iliyopita walifanya kongamano kubwa la kiroho.Kongamano hilio ambalo lilikua na mafundisho mbalimbali lilifanyika Pugu Kajiungeni na kuhudhuriwa na vijana takriban 80 wa Usharika huo
Pichani juu mwenyekiti wa Umoja wa vijana ndugu Mhoza akitoa shukrwani katika ibada ya jumatatu ya pasaka.Pembeni yake ni mchungaji kiongozi wa Ushrika huo mchungaji Kaanasia Msangi akimsikiliza kwa makini

No comments:

Leave a Reply