Latest News


More

KUTEMBEA NA YESU MFUFUKA

Posted by : Unknown on : Monday, April 21, 2014 0 comments
Unknown


Ibada ya jumatatu ya Pasaka imefanyika leo katika kanisa la K.K.K.T - Usharika wa Mwenge na kuhudhuriwa na mamia ya waumini wa Usharika huo

Ibada hiyo iliongozwa na mwinjilisti wa Usharika huo mwinjilisti Mwigune na mahubiri yaliongozwa na  mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge Mchungaji Kaanasia Msangi
Pichani juu mchungaji Kaanasia Msangi akihubiri kwenye ibada ya jumatatu ya pasaka leo asubuhi

Somo la mahubiri Marko 16:14 -16

No comments:

Leave a Reply