Latest News


More

WANAFUNZI WA KIPAIMARA WAPOKEWA LEO KATIKA USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, April 6, 2014 0 comments
Unknown
Leo katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge wanafunzi wa kipaimara wa mwaka wa kwanza wamepokelewa rasmi Usharikani kwa ajili ya kuanza mafunzo yao ya kipaimara.
Pichani juu Wanafunzi hao wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wazee wa kanisa wa Usharika huo mara baada ya kupokelewa rasmi

 Picha ya pamoja ya wazee wa kanisa na wanafunzi wa kipaimara

 Msemaji wa wanafunzi hao akishukuru kwa niaba ya wanafunzi wenzake
  Mchungaji kiongozi wa Usharuika wa Mwenge Kaanasia Msangi akiwabariki wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa kipaimara

Picha ya pamoja ya wamafunzi wa kipaimara

No comments:

Leave a Reply