Latest News


More

WATOTO WABATIZWA LEO KATIKA USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Monday, April 21, 2014 0 comments
Unknown
 
Leo katika Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T imefanyika ibada ya ubatizi wa watoto wadogo.Ibada hiyo iliyokua ya jumatatu ya Pasaka iliongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo Mchungaji Kaanasia Msangi na kusaidiana na mwinjilisti wa Usharika huo mwinjilisti Mwigune

Pichani juu mtoto akibatizwa katika ibada hiyo leo asubuhi

No comments:

Leave a Reply