Latest News


More

MKoa wa KAgera na ardhi yenye rutuba

Posted by : Unknown on : Monday, October 27, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :


Mkoa wa kagera ni mmojawapo ya ikoa iliyojaliwa kuwa na ardhi nzuri yenye rutiba nyingi na mvua takribani mwaka mzima.
Pichani juu ni picha iliyoko katikati ya mji wa Kagera ambapo ni sanamu ya kiongozi mmoja wa kijeshi mbaye aliongoza mapambano ya kumwondoa Idd Amin alipovamia Kagera

No comments:

Leave a Reply