Latest News


More

KANISA LA K.K.K.T USHARIKA WA IMANI - MWANZA LAZINDUA WEBSITE YAO

Posted by : Unknown on : Thursday, November 13, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria Usharika wa Imani imezindua website yake jumapili iliyopita
Akizungumza kwenye ibada ya jumapili mchungaji wa Usharika huo Chaplain Amos Stephano Kilimba alisema washarika watumie mtandao wao huo kupata habari na matukio mbalimbali yanayotokea kwenye Usharika wao
Alisema anwani yao ni www.imanicathedral.org.

Blog hii inawatakia kila la kehri katika kuwapa habari washarika wao na wakristo wote kwa ujumla ndani na nje ya Tanzania

No comments:

Leave a Reply