Latest News


More

KITUO CHA UTAMADUNI WA WASUKUMA - BUJORA MWANZA

Posted by : Unknown on : Tuesday, November 11, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :
 Bujora ni kijiji maarufu ambapo kunapatikana kituo cha utamaduni wa kabila la Wasukuma ambacho kiko nje kidogo ya jiji la Mwanza eneo la Kisesa
Katika kituo hiki cha makumbusho ukifika unaweza kuona tamaduni mbalimbali za Wasukuma, jinsi walivyokua wanaishi, ngoma zao, nyumba zao n.k kama zinavyoonekana hapa chini

 Vifaa mbalimbali vilivyotumika na kabila la Wasukuma kwenye shughuli zao mbalimbali
 Hii ni mojawapo ya nyumba ya asili ya Wasukuma kama ilivyo kwenye kijiji cha makumbusho ya Wasukuma
 Ramani inayoonyesha koo mbalimbali za Wasukuma toka enzi za wakoloni

 Bao ni mojawapo ya michezo maarufu iliyotumika enzi na enzi katika kabila la Wasukuma

Mdau wa Blog hii akijaribu kupiga mojawapo ya ngoma za Wasukuma
 Juu na chini ni watemi waliowahi kuongoza koo mbalimbali za Wasukuma

 Juu na chini ni nyoka aina ya chatu wanaotumika kwenye michezo mbalimbali ya Wasukuma

Mwongozaji wa wageni akionyesha jinsi anavyoweza kumkamata nyoka anayetumika kwenye michezo ya  Wasukuma

No comments:

Leave a Reply