Latest News


More

KWAYA YA UINJILISTI YA USHARIKA WA SINZA YAPAMBA IBADA KANISA LA K.K.K.T - MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, December 7, 2014 0 comments
Unknown
Leo katika Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T imefanyika ibada ya familia ambayo imekua ya baraka kwa wote waliohudhuria
Katika ibada hiyo iliyopambwa na waimbaji wa kwaya ya Uinjilisti wa Usharika wa Sinza (pichani juu) pamoja na kwaya ya Umoja ya Usharika wa Mwenge
Ibada hiyo pia ilishuhudia ndoa mbili zikifungwa kwa pamoja na kisha kupata chakula cha pamoja hapo hapo Usharikani kwa waumini wote waliohudhuria ibada hiyo pamoja na maharusi na ndugu zao

Waimbaji wa kwaya ya Umoja wa Usharika wa Mwenge wakiimba ibadani jumapili hii
Mpigaji wa kinanda wa kwaya ya Uinjilisti Sinza akipapasa kinanda kwa ustadi mkubwa
Waimbaji wa kwaya ya Uinjilisti Usharika wa Sinza wakiimba ibadani hapo

Mwimbaji kiongozi wa kwaya ya Uinjilisti Sinza akiongoza kipindi cha sifa.Nyuma yake ni waimbaji wa sifa wa Usharika wa Mwenge

No comments:

Leave a Reply