Kama huamini kama Mungu yupo waweza basi kuamini hata kwa uumbaji na maajabu yake.Katika hali ya kawaida ni vigumu kukuta mti , au mto wenye taswira ya mtu au kitu unachokijua.
Hayo ndiyo maajabu ya uumbaji wa Mungu
Fuatilia picha hizi hapa chini uone uumbaji wa Mungu na maajabu yake.



