Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

JE NI KWELI KWAMBA BIBLIA INAKATAZA WAKRISTO KUFURAHIA NGONO?

Posted by : Unknown on : Thursday, September 26, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Je, Biblia Inakataza Kufurahia Ngono?


Jibu la Biblia

Biblia inaonyesha kwamba ngono ni zawadi kwa watu waliofunga ndoa, na hivyo haiwakatazi kufurahia ngono. Mungu alimuumba “mwanamume na mwanamke” na kuona kwamba kila kitu alichofanya “kilikuwa chema sana.” (Mwanzo 1:27, 31) Alipowaunganisha mwanamume na mwanamke wa kwanza katika ndoa, alisema hivi: “watakuwa mwili mmoja.” (Mwanzo 2:24) Muungano huo ungewawezesha wafurahie ngono na pia ungewafanya wawe na uhusiano wa karibu sana wa kihisia.

Biblia inafafanua furaha ambayo waume hupata katika ndoa inaposema hivi: ‘Shangilia pamoja na mke wa ujana wako . . Na maziwa yake yakuleweshe nyakati zote. Upendo wake na ukufurahishe sikuzote.’ (Methali 5:18, 19) Pia, Mungu anataka wanawake wafurahie ngono. Biblia inasema hivi: “Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.”—1 Wakorintho 7:3, Union Version.

Kanuni zinazohusu kufurahia ngono

Ni watu waliooana tu ambao Mungu anawaruhusu wafanye ngono, kama vile tunavyosoma katika Waebrania 13:4: “Ndoa na iheshimiwe kati ya wote, na kitanda cha ndoa kiwe bila unajisi, kwa maana Mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.” Watu waliooana wanapaswa kuwa waaminifu na wanapaswa kuwajibika sikuzote kwa mmoja na mwenzake. Wanapata furaha nyingi sana, si kwa kujitanguliza wenyewe, bali kwa kufuata kanuni ya Biblia inayosema: “Kuna furaha zaidi katika kutoa kuliko ilivyo katika kupokea.”—Matendo 20:35.

No comments:

Leave a Reply