Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

MASHINDANO YA UIMBAJI (REFORMATION) KWAYA KUU NGAZI YA KANDA – JIMBO LA KASKAZINI YAFANA – KITUO CHA MWENGE

Posted by : Unknown on : Saturday, October 12, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :


MASHINDANO YA UIMBAJI (REFORMATION) KWAYA KUU NGAZI YA KANDA – JIMBO LA KASKAZINI YAFANA – KITUO CHA MWENGE
Mashindano ya uimbaji (Reformation) katika jimbo la Kaskazini la kanisa la K.K.K.T Dayoosisi ya Mashariki na Pwani yamefanyika leo katika Usharika wa Kunduchi na kituo kingine kikiwa Usharika wa Mwenge
Kwaya zote ziliimba nyimbo tatu ambazo mmoja ni wimbo wa halaiki NINATAKA KUMWIMBIA BWANA, wimbo wa utamaduni na wimbo chaguo la kwaya.
Pichani juu ni kwaya ya Usharika wa Mwenge ikiimba jukwaani leo
Katika kituo cha Mwenge zilikuwepo kwaya za z ifuatazo
1.KWAYA YA USHARIKA WA  MWENGE
2.KWAYA YA USHARIKA WA TEGETA
3.KWAYA YA USHARIKA WA MBEZI BEACH
4.KWAYA YA USHARIKA WA  BUNJU A
5.KWAYA YA USHARIKA WA  MAGOMENI
6.KWAYA YA USHARIKA WA SINZA
7.KWAYA YA USHARIKA WA MSASANI
8.KWAYA YA USHARIKA WA BETHANIA
9.KWAYA YA USHARIKA WA WAZO HILL
10.KWAYA YA USHARIKA WA UNUNIO


WALIOSHINDA KATIKA KITUO HIKI NI;
1.KWAYA YA BUNJU A
2.KWAYA YA WAZI HILL
3.KWAYA YA MWENGE AMBAO WALIFUNGANA NA KWAYA YA MBEZI BEACH
4.KWAYA YA MAGOMENI AMBAYO ILIFUNGANA NA KWAYA YA SINZA NA
5.KWAYA YA MSASANI

HIZI NDIZO ZITAWAKILISHA KITUO HIKI KWENYE MASHINDANO YA KUMPATA MWAKILISHI WA JIMBO LA KASKAZINI AMBAYO YATAFANYIKA JUMAMOSI IJAYO KATIKA USHARIKA WA MBEZI BEACH
MTANDAO WA TUMAINI LETU UNAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA HUDUMA HII YA KUMTUMIKIA BWANA KWA NJIA YA UIMBAJI

No comments:

Leave a Reply