Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

KIJITONYAMA NDIO WASHINDI WA KWANZA WA UIMBAJI KITUO CHA KUNDUCHI

Posted by : Unknown on : Saturday, October 12, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

Kwaya ya Usharika wa Kijitonyama ( pichani juu) wameibuka washindi wa kwanza katika mashindano ya uimbaji kwa kwaya kuu (Reformation) katika kituo cha Kunduchi
Kwaya ya Usharika wa Kijitonyama (pichani juu) imeibuka mshindi wa kwanza baada ya kujinyakulia point 84.3

Washindi wengine ni kama ifuatavyo na alama walizopata 
Mshindi wa pili ni kwaya ya Usharika wa Manzese pichani juu  waliopata point 82.6
Mshindi wan tatu ni kwaya ya Usharika wa Kinondoni pichani juu waliopata point 82
 Mwalimu Lwiza wa kwaya ya Usharika wa Kinondoni akiongoza kwaya yake jukwaani

Mshindi wa nne ni kwaya ya Usharika wa Ubungo pichani juu waliopata point 81.0
 Mshindi wa tano ni kwaya ya Usharika wa Kunduchi pichani juu waliopata alama 79.6
 Mmojawapo wa majaji wa mashindano hayo (chief judge) ndugu Silayo akizungumzia uimbaji kwa ujumla kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya uimbaji
Mmojawapo wa waratibu wa mashindano hayo Ndugu Gilbert  Mushi akizungumza kabla ya kutangazwa kwa matokeo hayo

Kwaya hizi tano ndizo zitawakilisha kituo hiki kwenye mashindano ya kumtafuta mshindi wa jimbo siku ya jumamosi katika Usharika wa Mbezi Beach wakishindana na washindi wa kituo cha Mwenge

No comments:

Leave a Reply