Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

MASHINDANO YA UIMBAJI (REFORMATION) KWAYA KUU NGAZI YA KANDA – JIMBO LA KASKAZINI YAFANA

Posted by : Unknown on : Saturday, October 12, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :



MASHINDANO YA UIMBAJI (REFORMATION) KWAYA KUU NGAZI YA KANDA – JIMBO LA KASKAZINI YAFANA
Mashindano ya uimbaji (Reformation) katika jimbo la Kaskazini la kanisa la K.K.K.T Dayoosisi ya Mashariki na Pwani yamefanyika leo katika Usharika wa Kunduchi na kituo kingine kikiwa Usharika wa Mwenge
Kwaya zote ziliimba nyimbo tatu ambazo mmoja ni wimbo wa halaiki NINATAKA KUMWIMBIA BWANA, wimbo wa utamaduni na wimbo chaguo la kwaya
Pichani juu ni kwaya ya Mbezi juu wakiwa jukwaani wakiimba
Pichani juu ni kwaya ya Usharika wakiimba jukwaani.Kwaya hii ndio walioibuka washindi wa kwanza katika kituo cha Kunduchi
Katika kituo cha Kunduchi zilikuwepo kwaya za sharika kumi kama ifuatavyo;
1.KWAYA YA USHARIKA WA SALASALA
NYIMBO: MATENGENEZO YA KANISA – ASILI KISAMBAA
                : HUKO MBINGUNI TUTAMWONA
                MWALIMU WA KWAYA MWALIMU E.H.CHAGGI (NDIYE MTUNZI WA NYIMBO MBILI)


2.KWAYA YA USHARIKA WA MBEZI JUU (picha chini na juu)
NYIMBO:HAWAKUONYESHA


3.KWAYA YA USHARIKA WA KAWE (pichani chini)
NYIMBO: SIKU ILE KUBWA – ASILI KIBENA
                MWENYEZI MUNGU
                MWALIMU WA KWAYA NI MWALIMU ALFA
 Waimbaji wa kawe wakiwa jukwaani wakiimba

4.KWAYA YA USHARIKA WA MANZESE
NYIMBO: SHANGILIENI  - ASILI KIMANDA
                NITAKIFANANISHA NA NINI KIZAZI HIKI
                MWALIMU WA KWAYA NI MWALIMU FRANK MSUYA
5.KWAYA YA USHARIKA WA KUNDUCHI
NYIMBO: NITAINUA MACHO YANGU ASILI NI KIYAO NA KIHEHE
                VIUMBE VYOTE
                MWALIMU WA KWAYA NI MWALIMU STANLEY KADUMA
6.KWAYA YA USHARIKA WA KIJITONYAMA
 Mwalimu Kisasa akiimbisha kwaya ya Usharika wa Kijitonyama
NYIMBO: ALFA NA OMEGA ASILI NI KIHAYA
                MFANYIE BWANA SHANGWE
                MWALIMU WA KWAYA NI MWALIMU JOACHIM KISASA

7.KWAYA YA USHARIKA WA KINONDONI(pichani chini)
 Waimbaji wa kwaya ya Kinondoni wakiimba juu na chini
NYIMBO: WOTE MUNGU AWAITA ASILI KIGOGO
                BWANA TUNAKUJIA
                MWALIMU WA KWAYA NI MWALIMU KENEDY LWIZA
8.KWAYA YA MTAA WA MAGWEPANDE (pichani chini)

NYIMBO: TUTASIMAMA ASILI NI KISAMBAA
                BABA YETU
                MWALIMU WA KWAYA NI MWALIMU VICENT KIKA
               
9.KWAYA YA USHARIKA WA UBUNGO (pichani chini)

 Mwalimu Msuya akiongoza kwaya ya Ubungo jukwaani
NYIMBO: MUNGU TANGU MWANZO – ASILI NI  KISAFA
                BWANA NI NGOME YETU
                MWALIMU WA KWAYA NI MWALIMU MSUYA
10.KWAYA YA USHARIKA WA MBEZI NDUMBWI

No comments:

Leave a Reply