Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

Posted by : Unknown on : Saturday, October 26, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :


MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH

Mashindano ya uimbaji  wa kwaua kuu ngazi ya Dayosisi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Dayosisi ya Mashariki na Pwani yamefanyika leo katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge
Katika mashindano hayo ambayo mgeni rasmi alikua mkuu wa Kanisa la K.K.K.T na askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dr Alex Gerhaz Malasusa
Katika mashindano hayo yaliyojumuisha kanda zote za Dayosisi hiyo ambazo ni;
1.Kanda ya Kaskazini ambayo iliwakilishwa na kwaya tatu
2.Kanda ya Kati ambayo iliwakilishwa na kwaya tatu
3.Kanda ya Kusini ambayo iliwakilishwa na kwaya tatu
4.Kanda ya Magharibi ambayo iliwakiliswha na kwaya tatu na
5.Kanda ya Kusini Magharibi ambayo hiyo pekee ndiyo  iliwakilishwa na kwaya mbili 

Kwaya zilizoshiriki ni;
1.Kwaya kuu ya Usharika wa Kipawa
2.Kwaya kuu ya Usharika wa Azania Front
3.Kwaya kuu ya Usharika wa Kisarawe
4.Kwaya kuu ya Usharika wa Yombo
5.Kwaya kuu ya Usharika wa Kimara
6.Kwaya kuu ya Usharika wa Chanika
7.Kwaya kuu ya Usharika wa Ukonga
8.Kwaya kuu ya Usharika wa Kurasini
9.Kwaya kuu ya Usharika wa Mbezi Beach
10.Kwaya kuu ya Usharika wa Temeke
11.Kwaya kuu ya Usharika wa Magomeni
12.Kwaya kuu ya Usharika wa Mbezi Luis
13.Kwaya kuu ya Usharika wa Neema
14.Kwaya kuu ya Usharika wa Kinondoni

Katika mashindano hayo kila kwaya iliimba jumla ya nyimbo tatu ambayo wimbo wa kwanza ni wimbo wa siku “NINATAKA KUINGIA”ambao uliimbwa na kwaya zote Wimbo wa pili ni wimbo wa utamaduni na watatu ni wimbo chaguo la  kwaya
Saved under :

No comments:

Leave a Reply