Latest News


More

NEXT LEVEL HAKIKA WALITENDEA HAKI TAMASHA LAO LA UIMBAJI KANISA LA CCC

Posted by : Unknown on : Monday, October 21, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

Jana Jumapili kikundi maarufu cha uimbaji cha The Next Level cha kanisa la Cirt Christian Centre (CCC) Kilifanya tamasha kubwa la uimbaji na uzinduzi wa kanda yao mpya

Katika tamasha hilo kubwa lililopewa jina la Night of Worship hakika lilikuwa ni tamasha la kipekee kwani kila aliyehudhuria alitoka hapo akiwa amebarikiwa kabisa

Vikundi mbalimbali vilisindikiza tamasha hilo wakiwepo;
Neema Gospel Choir ambao waliimba kwa ustadi mkubwa na upigaji wao wa vyombo hakika uliwakosha wote waliohudhuria, pamoja na vikundi vingine mbalimbali vya jiji la Dar es salaam





Saved under :

No comments:

Leave a Reply