Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

UIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI UMEKUA KATIKA JIMBO LA KASKAZINI WA KANISA LA K.K.K.T - MCHUNGAJI MWAIPOPO

Posted by : Unknown on : Sunday, October 20, 2013 0 comments
Unknown
 Mashindano ya uimbaji kwa kwaya kuu za kanisa la K.K.K.T - DMP jimbo la Kaskazini yamefanyika jana jumamosi katika Usharika wa Mbezi Beach.Katika mashindano hayo ambapo kwaya ya Magomeni iliibuka washindi wakifuatiliwa na kwaya ya Usharika wa Kinondoni na washindi wa tatu kwaya kuu ya Usharika wa Mbezi Beach

Akizungumza wakati wa kufanya majumuisho ya alama walizopata wanakwaya hao mchungaji Mwaipopo (pichani juu) ambaye ndiye alikua kamisaa wa majaji wote alisema mwaka huu kwaya zote zimeimba kwa ubora na weledi wa hali ya juu tofauti na miaka ya nyuma kabla ya kusitishwa kwa mashindano hayo

Alisema mwaka huu kila kwaya zimeimba kwa ubora wa hali ya juu na nyimbo chaguo la kwaya zote zimetunga wenyewe kitu ambacho alisisitiza waendelee na ubunifu huo
Awali akimkaribisha kamisaa ili aweze  kutoa majumuisho ya alama mwenyekiti wa kamati ya uimbaji wa kwaya kuu kwa jimbo la Kaskazini ndugu Gilbert Mushi (pichani juu) alisema mwaka huu katika ngazi ya kanda kulikuwepo na vituo viwili kimoja kikiwa Usharika wa Mwenge (kilichotoa washindi sita) na kitu cha pili kilikua Usharika wa Kunduchi ambacho kilitoa washindi watano.
Washindi hao ndio waliokutana kutafuta mwakilishi wa jimbo ambaye atakutana na kwaya nyingine 11 za majimbo mengine kumtafuta mshindi wa Dayosisi
Mashindano ya Dayosisi yatafanyika siku ya jumamosi ijayo katika Usharika wa Mbezi Beach

 Mkuu wa jimbo la kaskazini mchungaji Muro ambaye pia alikua mgeni rasmi akiwa kwenye  picha ya pamoja na kamisaa pamoja na majaji wa mashindano hayo mara baada ya kutangazwa washindi

No comments:

Leave a Reply