Latest News


More

JARIBIO LA WIFI BAHARINI

Posted by : Unknown on : Tuesday, October 22, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Chuo kikuu cha Buffalo nchini Marekani,kimefanya majaribio ya WiFi chini ya maji wiki hii, ni ndoto au inawezekana?



WiFi inapatikana chini ya bahari Erie. Chuo kikuu cha Buffalo nchini Marekani,kilifanya majaribio ya WIFI chini ya maji wiki hii. Watafiti walitumia laptop zao kupokea data kuhusu bahari hiyo wakitumia sensa mbili zilizokuwa zimezamishwa baharini. Haya na mengineyo katika fani ya teknolojia haya hapa


No comments:

Leave a Reply