Latest News


More

IBADA YA WAJANE NA WAGANE YAFANYIKA LEO KATIKA KANISA LA K.K.K.T USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, January 19, 2014 0 comments
Unknown
Saved under : ,

Ibada ya wajane na wagane imefanyika leo katika Usharika wa K.K.K.T Usharika wa Mwenge ikiwa ni mojawapo ya ibada nne zilizofanyika kanisani hapo jumapili ya leo
Ibada hiyo iliongozwa na Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi na mahubiri yaliongozwa na ndugu Robert toka makao makuu ya Dayosisi.
Pichani juu bwana Robert akifundisha kwenye ibada hiyo ya wajane na wagane




No comments:

Leave a Reply