Ibada ya jumapili hii katika Usharika wa Mwenge ilikua ya kipekee kwani ilifanyika kwa makundi tofauti tofauti
Katika ibada ya nne ilikua ni maalum kwa ajili ya vijana na iliongozwa na mvhungaji Ordulus pichani juu
Katika ibada hiyo mchungaji Ordulus alisisitiza vijana kushika neno la Mungu na kutofuata mafundisho machafu yanayotolewa kwenye mitandao mbalimbali ambayo hayampi Mungu utukufu
Pichani juu mchungaji Ordulus akifundisha kwenye ibada hiyo ya Vijana
Kabla vijana walipata nafasi ya kujadili mambo mbalimbali yanayowahusu ikiwepo semina wanayotarajia kuifanya mapema mwezi wa nne mwaka huu
Pichani juu mwenyekiti wa vijana wa usharika akizungumza na vijana kuhusu semina yao ya mwezi wa nne
Vijana wakisikiliza kwa makini mwenyekiti wao akizungumza
Vijana wakiimba kwenye ibada yao maalum
Vijana wakionyeshwa fulana zitakazotumika kwenye semina yao ya Bagamoyo mwezi wa nne
Vijana wakikata keki tayari kulishana wakati wa ibada hiyo
Mwishoni wakapata picha ya pamoja
No comments: