Washarika hao ambao wengi wao ni wanafunzi wako nchini Tanzania kwa ziara ya kimasomo wakiwa na waalimu wao wawili.Pichani juu ni mwalimu wao akiwatambulisha wenzake (hawapo pichani) katika ibada iliyofanyika asubuhi hii katika Usharika wa Mwenge
Wageni hao toka Denmark wakiwa kwenye ibada hiyo ya jumapili
Pichani juu na chini Mzee wa kanisa la Mwenge mzee Kichila akifafanua jambo mbele ya wageni hao toka nchini Denmark
Mzee Kichila akiwasikiliza wageni toka Denmark
Mzee Kichila akisisitiza jambo mbele ya wageni hao
Mzee Kichila (mmojawapo wa wazee wa kanisa) akiongea na wageni hao kutokaDenmark
Mmojawapo wa wazee wa kanisa wa Usharika wa Mwenge Mzee Kichila akiongea na wageni hao kutoka Denmark kuhusiano na shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Usharika huo
No comments: