Latest News


More

JE UMEWAHI KUKUTANA NA MNYAMA NUSU PUNDA NA NUSU PUNDA MLIA?

Posted by : Unknown on : Monday, April 28, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :

Little boy: Khumba's mother, Rayas, is a zebra, and his father, Ignacio, is a dwarf blue-eyed albino donkey. That makes Khumba a zonkey, a rare cross between a zebra and a donkey.
 
        Ni mnyama ambaye nusu ni punda na nusu ni punda mlia
Ni mnyama aliyetokana na kupandishwa kwa punda na punda mlia.labda tumwite Zonkey (yaani Zebra and donkey)
Huyu amezalishwa kwenye zoo moja inayoitwa Reynosa  nchini   Mexico April 21 na akapewa jina Khumba.
Mnyama mdogo: Mama yake Khumba, Rayas, ni pundamlia, na baba yake , Ignacio, ni mchanganyiko wa punda albino. Hii inafanya  Khumba  punda aitwe kwa kiingereza  zonkey, ikiwa ni mchanganyiko wa pundamliaa na punda.

Biological freak! Zonkeys are rare due to a chromosomal incompatibility between donkeys and zebras. A donkey has 62 chromosomes, while a zebra has 32, 44 or 46, depending on the species
 

What a beauty! A zoo is Mexico is now home to an absolutely adorable creature. The animal is referred to as a zonkey, which is a cross between a donkey and a zebra
Mnyama mzuri sana! Bustani hiy ya wanyama kwa sasa ni kama nyumba ya kiumbe huyo wa aina yake kwani ukimwona huwezi kujua ni pundamlia au punda

Mother & calf: Khumba the zonkey and her mother, Rayas, at the zoo in Mexico
Mama na ndama wake: Khumba -  zonkey na mama yake   Rayas, wakiwa kwenye zo hiyo huko Mexico
Who's the daddy? Khumba's father Ignacio, a dwarf, blue-eyed albino donkey named Ignacio, lives on a nearby farm

Uhusian huu ulianza kidgo kidogo wakiishi kama marafiki katika bustani hii ya wanyama.
Punda mlia jike kwa jina la , na baba yake ambaye ni kama punda albino mwenye jina Ignacio,walikua wakikutana mara kwa mara mchana na mara Rayas akapata mimba na kumzaa Khumba (ambaye ni nusu punda mlia na nusu punda kama anavyoonekana kwenye picha hapa chini.

 

No comments:

Leave a Reply