Latest News


More

JE UNAJUA MAANA YA NENO ABA?

Posted by : Unknown on : Monday, April 28, 2014 0 comments
Unknown

Aba lilikuwa neno la kawaida katika lugha za Kiaramu na Kiebrania, na maana yake ilikuwa "Baba"
Lilikuwa nen lenye upendo na la kawaida lililotumika kila siku katika maisha ya kifamilia

Wayahudi wa Agano la Kale kamwe hawakutumia neno hilo waliposema na Mungu, lakini Bwana Yesu alilitumia alipomwmba Baba yake (Mk 14: 36)
Wakristo wa kwanza pia walimwita Mungu Aba, kwa sababu katika Yesu Kristo

Mungu alipokea waamini wawe watoto wake akawafanya kuwa warithi pamoja na Kristo katika urithi wake wa mbinguni (Rum 8:15-17; Gal 4:5-6;taz pia 3:26

No comments:

Leave a Reply