Mkuu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Dr Alex Gerhaz Malasusa leo anatarajiwa kufungua kanisa la Kilutheri Huko kisiwani Pemba, Zanzibar.Pamoja na kanisa hilo pia mkuu huyo wa kanisa anatarajiwa kufungua jengo la Mfikwa Complex la kanisa hilo kisiwani huko
Mkuu huyo wa kanisa ataambatana na wachungaji mbalimbali wa kanisa la K.K.K.T toka Dayosisi ya Mashariki na Pwani pamoja na viongozi waandamizi wa Dayosisi hiyo
Mtandao huu wa Tumainiletu unawatakia kila la kheri na ibada njema viongozi hao wa kanisa
No comments: