Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

VITUKO VYA WAZUNGU:KUTANA NA MEYA MLEVI WA MJI WA TORONTO

Posted by : Unknown on : Friday, May 2, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :
Meya mwenye utata wa mji wa Toronto, Rob Ford amesema kuwa atachukua mapumziko ya muda ili kutatua tatizo lake la ulevi.

Mwanasheria wa Meya huyo Dennis Morris amesema mteja wake anaelewa kuwa ana tatizo linalomdhalilisha na anataka kuchukua hatua kulitatua.

Tangazo lake linajiri wakati ambapo magazeti mawili ya Canada yanasema yamepata kanda mpya ya video yenye kutia aibu ya Bwana Ford.

"Mwaka uliopita Meya Rob Ford alikiri kuwa alikuwa akitumia mihadarati akiwa meya baada ya kukataa kwa miezi kadhaa kuvuta midarati hiyo wakati anapolewa ambapo pia alipinga wito wa kumtaka ajiuzulu."

Katika kanda hizo Bwana Ford anaonekana akitumia mihadarati aina ya cocaine akiwa amelewa chakari huku nyengine akionekana akitoa matamshi mabaya kuhusu wanawake na wanasiasa wenzake katika baa moja.

Mkanda huo wa video unamwonyesha katika miezi ya hivi karibuni akiwa amelewa.

Mwaka uliopita Bwana Ford alikiri kuwa alikuwa akitumia mihadarati akiwa meya baada ya kukataa kwa miezi kadhaa kuvuta midarati hiyo wakati anapolewa ambapo pia alipinga wito wa kumtaka ajiuzulu.

Meya Rob Ford akicheza kwenye ukumbi wa jiji la Toronto wimbo wa Bob Marley One Love

Pia polisi wana malalamiko kwa njia ya maandishi kuwa meya huyo amekuwa akituhumiwa akitumia lugha ya matusi, akiwatishia wafanyakazi wenzake, akiwadhalilisha wanawake na kutumia mihadarati akiwa kwenye mgahawa. Tuhuma ambazo meya huyo amezikana.

Meya huyo sasa anataka kugombea tena nafasi hiyo mnamo mwezo Octoba,lakini anasema kwamba atapumzika kwa muda katika kampeni zake za umeya ili kutatua tatizo lake la ulevi

No comments:

Leave a Reply