Latest News


More

IGIZO LA VIJANA LAPAMBA IBADA YA WANAUME USHARIKA WA MWENGE JUMAPILI YA LEO

Posted by : Unknown on : Sunday, June 8, 2014 0 comments
Unknown
 

Leo katika Usharika wa Mwenge kumefanyika ibada ambayo imeratibiwa na kusimamiwa na wanaume wa usharika huo
Pamoja na hayo pia vijana wa usharika huo walionyesha igizo zuri ambalo lilikua linahusu nafasi ya wanaume katika familia na kanisa kwa ujumla
Pichani juu na chini ni vijana wa Usharika huo wakiigiza katika ibada hiyo.aliyesimama kulia ni mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Usharika huo bwana Mhoza aliyeigiza kama mchungaji

No comments:

Leave a Reply