akizungumza kwenye ibada ya jumapili ya leo (ambayo iliongozwa na wanaume) mchungaji kiongozi wa
Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T Mchungaji Kaanasia Msangi alisema mara nyingi wakristo wanajisahau haswa pale ambapo Mungu anawatendea mambo mema
Pichani juu mchungaji kiongozi wa usharika wa Mwenge Mch Kaanasia Msangi akiwa na mzee Godlisten Lema wakiongoza maombi kwa wakristo waliomtolea Mungu shukrani zao za pekee
No comments: