Katika tuzo hizo ambazo kwa Afrika ni za kwanza kulikua na makundi matatu
Kundi la kwanza ni majiji makubwa ambapo mshindi alikua ni jiji la Accra Ghana
Kundi la pili ni majiji ya kati ambapo mshindi ni jiji la Kinondoni chini ya meya wake Yusuph Mwenda na
Kundi la tatu ni majiji madogo ambapo mshindi Praia katika visiwa vya Cape Verde
Tuzo hizo zilikabidhiwa na waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu bi Hawa Ghasia
Pichani Mheshimiwa Hawa Ghasia akimkabidhi Meya wa Kinondoni zawadi yake katika hafla iliyofanyika jijini Dar jana
Mstahiki Mwenda akionyesha zawadi yake hiyo jana usiku
Pamoja na tuzo pia mstahiki Mwenda alipewa zawadi ya dola 100,000
Pichani mgeni rasmi akimkabidhi mstahiki meya Mwenda mfano wa hundi ya dola 100,000
(Picha kwa hisani ya Michuzi Blog)
No comments: