Latest News


More

SIKUKUU YA KANTATHE YAFANA KANISA LA K.K.K.T USHARIKA WA IPAGALA DODOMA

Posted by : Unknown on : Monday, May 13, 2013 0 comments
Unknown

 Hakika kule mbinguni ni kuimba na kusifu tu!

Hivyo ndivyo walivyokua wakisema waumini waliohudhuria kwenye ibada ya jumapili jana kwenye Usharika wa Ipagala, Jimbo la Dodoma mjini katika Dayosisis ya Dodoma

Pamoja na mambo mengine ilikua pia ni sikukuu ya Kanthathe Domino (Mwimbieni Bwana wimbo mpya) ambapo kwaya mbalimbali za usharika huo zilimwimbia Mungu .Pichani juu kwaya ya Usharika wa Ipagala wakipanda jukwaani tayari kumwimbia Mungu
Baadhi ya waumini wakifuatilia ibada hiyo siku ya jumapili jana
(Tunaomba radhi picha haziko kwenye kiwango kizuri sana.)

Picha na habari kwa hisani ya Elly Msuya - Dodoma

No comments:

Leave a Reply