Latest News


More

WASABATO WAANDAA SEMINA YA NENO LA MUNGU - MWENGE

Posted by : Unknown on : Thursday, May 2, 2013 0 comments
Unknown
Saved under : , ,
 Kanisa la Wasabato la Mwenge limeandaa semina ya neno la Mungu ambayo inafanyika kwa wiki mbili mfululizo Semina hiyo ambayo inakwenda na neno la Mungu toka Isaya 43: 25 - 26
Semina hiyo ambayo inaambatana na mafundisho ya jinsi ya kuishi maisha bora kwa kula chakula, mboga za majani na  matunda halisi
 Pichani juu ni mmoja wa watoa mada wa semina hiyo kuhusu jinsi ya kula chakula bora.Mtoa mada hiyo (pichani) ni mama Hesperance Deodate ambaye ni founder na CEO wa BELI FOUNDATION ambayo inajihusisha na mambo ya lishe bora na chaluka wakiwa na kauli mbiu " YOU ARE WHAT YOU EAT"
 Pichani juu na chini ni waimbaji wa kwaya ya Sabato toka Arusha ambao wamealikwa kwenye semina hiyo kama wanakwaya maalum wa kuhudumu kwenye semina hiyo


 Baadhi ya wana semina wakisikiliza kwa makini mafundisho kwenye semina hiyo siku ya jana

No comments:

Leave a Reply