Latest News


More

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WATU KUMZIKA ASKOFU DR MOSES KULOLA

Posted by : Unknown on : Wednesday, September 4, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete leo wameongoza maelfu ya waumini na wakazi wa jiji la Mwanza kwenye ibada ya maziko ya Askofu wa kanisa la EAGT Dr Moses Kulola.

Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiwepo wa dini na serikali akiwepo waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Edward Lowasa

Pichani juu ni mheshimiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Askofu Dr Moses Kulola
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu bibi Elizabeth Kulola.Nyuma ya raisi ni mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete

No comments:

Leave a Reply