Latest News


More

THE NEXT LEVEL KUZINDUA ALBUM YA UPENDO WA YESU KESHO CCC

Posted by : Unknown on : Saturday, October 19, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
 Kikundi maarufu cha uimbaji wa nyimbo za injili cha THE NEXT LEVEL kesho tarehe 20/10/2013 kinatarajia kuzindua album yao ya DVD yenye jina :UPENDO WA YESU" Katika kanisa la City Christian Center Upanga karibu na Chuo kikuu cha Mzumbe

Uzinduzi huo unatarajia kuanza saa 8.00 mchana na utasindikizwa na vikundi mbalimbali vya nyimbo za injili 
 vya hapa katika jiji la Dar es salaam.

Ticketi  zinapatikana katika kanisa la CCC Upanga kwa bei ndogo tu na mlangoni kesho siku ya uzinduzi

Waweza pia kuwasiliana na mmojawapo wa waratibu wa kikundi hiki bwana Sammy Rodin Mwangati kwa simu No.0655-100200

WOTE MNAKARIBISHWA
Saved under :

No comments:

Leave a Reply