Latest News


More

JOSHUA ASSEY ABATIZWA KATIKA KANISA LA K.K.K.T - USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Friday, December 27, 2013 0 comments
Unknown
 Mtoto Joshua Assey siku ya alhamisi alibatizwa katika Usharika wa Mwenge.Katika ibada hiyo ya siku ya pili ya Kristmas pamoja na yeye walibatizwa watoto wengine katika ibada iliyoongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo Mchungaji Kaanasia Msangi akisaidiwa ma mwinjilisti wa Usharika mwinjilisti Mwigune na mahubiri yalotolewa na Parish Worker Suzan Mwimbe
Pichani juu mtoto Joshua akibatizwa


Wazazi wakipewa baraka na mchungaji kiongozi

No comments:

Leave a Reply