Latest News


More

MCHUNGAJI SIMON FUE ATAMBULISHWA USHARIKA WA K.K.K.T - MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, March 9, 2014 0 comments
Unknown
Mchungaji Simon Fue amepangiwa kufanya huduma katika usharika wa K.K.K.T - Mwenge.
Pichani juu mchungaji Fue  akijitambulisha katika Usharika huo ambapo atakua kwa muda wakati akimalizia masomo yake katika chuo cha Ustawi wa jamii
Mchungajiu Fue anafanya huduma ya ushauri wa ndoa, mambo ya familia, ukimwi n.k

No comments:

Leave a Reply