Latest News


More

USHARIKA WA MWENGE WAFANYA MKUTANO WAO MKUU WA MWAKA

Posted by : Unknown on : Sunday, August 31, 2014 0 comments
Unknown

 
Leo jumapili katika Usharika wa Mwenge wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania umefanyika mkutano mkuu wa Usharika.Mkutano huo ambao umeongozwa na mwenyekiti ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi pampja na wazee wa kanisa wanaomaliza muda wao chini ya katibu msaidizi mzee Ester Palangyo

Mkutano huo ambao umetanguliwa na ibada ya jumapili ambayo pia ilikua na tendo  la kuwaingiza kazini wazee wapya waliochaguliwa kuongoza usharika huo kwa kipindi cha miaka mine ijayo

Pamoja na mambo mengine mkutano huo ulipokea taarifa ya mapato na matumizi ya kipindi cha mwaka 2013 na kazi ya ujenzi wa kanisa inayoendelea kanisani hapo

Pichani juu mchungaji kiongozi Kaanasia Msangi ambaye pia alikua mwenyekiti wa kikao hicho akiongoza mkutano huo mkuu wa Usharika










No comments:

Leave a Reply