Latest News


More

KITUO CHA MTONI DIAKONIC CENTER KUJENGA CENTER KUBWA MLANDIZI

Posted by : Unknown on : Sunday, October 12, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :
Kituo cha Mtoni Deaconic Center ambaco kinatunza watoto wenye ulemavu wa akili kinatarajia kujenga kituo kikubwa huko Mlandizi
Akizungumza jana kwenye ibada ya shukrani ya wazee wa kanisa wa Dayosisi ya Mshariki na Pwani mchungaji mlezi wa Kituo hicho mchungaji Kimaro (pichani juu) alisema kituo cha Mtoni kwa sasa hivi hakitoshi mahitaji ya watoto kwani kina watoto zaidi ya 200 wakati kilijenga kuhudumia watoto 70 tu
Hivyo aliwaomba wazee waliohudhuria ibada hiyo kwa kushirikiana na waumini wa Kanisa la K.K.K.T kusaidiana kujenga kituo hicho ambacho tayari wamepata ekari 15 na wana mpango wa kuongeza ekari 50 zaidi




 Mkurugenzi mkuu wa Maendeleo Bank bwana Mwangalaba akielezea mafanikio ya Bank hiyo tangu ianzishwe
 Bwana Leonard Shayo  (mwenyekiti wa kamati ya Mtoni Diaconic  center) akielezea ujenzi wa center hiyo utakavyokua

No comments:

Leave a Reply