Latest News


More

WAZEE WA DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI WASHIRIKI CHAKULA CHA BWANA PAMOJA

Posted by : Unknown on : Sunday, October 12, 2014 0 comments
Unknown

 Viongozi wazee wa sharika mbalimbali wa  Dayosisi ya Mashariki na Pwani jana jumamosi walishiriki ibada ya shukrani katika Usharika wa Mbezi Beacha ambayo pia ilikua na tendo la kushiriki chakula cha bwana
Ibada hiyo ambayo iliongozwa na mkuu wa kanisa la K.K.K.T na askofu wa Dayoisis hiyo Dr Alex Gerhaz Malasusa ilihudhuriwa na takriban viongozi wote wa Dayosisi, wachungaji takriban wote na wazee wastaafu na wapya wa dayosisi hiyo
Pichani juu  mkuu wa jimbo la Kaskazini Mchungaji Anta Muro akisaidiana na msaidizi wa askofu mchungaji Fupe wakimshirikisha chakula cha bwana mmojawapo wa wazee waliohudhuria ibada hiyo
Askofu Dr Alex Malasusa akimshirikisha mojawapo wa wazee waliohudhuria ibada hiyo jana





















No comments:

Leave a Reply