Latest News


More

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA, ASHINDA TUZO YA MEYA BORA WA AFRIKA

Posted by : Unknown on : Wednesday, May 6, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :
 Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda ameshinda tuzo ya meya bora Afrika katika kundi la majiji ya kati na
Katika tuzo hizo ambazo kwa Afrika ni za kwanza kulikua na makundi matatu

Kundi la kwanza ni majiji makubwa ambapo mshindi alikua ni jiji la Accra Ghana
Kundi la pili ni majiji ya kati ambapo mshindi ni jiji la Kinondoni chini ya meya wake Yusuph Mwenda na
Kundi la tatu ni majiji madogo ambapo mshindi Praia katika visiwa vya Cape Verde

Tuzo hizo zilikabidhiwa na waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu bi Hawa Ghasia
 Pichani Mheshimiwa Hawa Ghasia akimkabidhi Meya wa Kinondoni zawadi yake katika hafla iliyofanyika jijini Dar jana
 Mstahiki Mwenda akionyesha zawadi yake hiyo jana usiku
 Pamoja na tuzo pia mstahiki Mwenda alipewa zawadi ya dola 100,000
Pichani mgeni rasmi akimkabidhi mstahiki meya Mwenda mfano wa hundi ya dola 100,000
Mstahiki Mwenda akiongea machache kwenye hafla hiyo jana

(Picha kwa hisani ya Michuzi Blog)

No comments:

Leave a Reply