Latest News


More

KWAYA YA USHARIKA WA BUNJU YAIBUKA KIDEDEA KATIKA KITUO CHA MWENGE

Posted by : Unknown on : Saturday, October 12, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

KWAYA YA USHARIKA WA BUNJU YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UIMBAJI KITUO CHA MWENGE
Kwaya ya Usharika wa Bunju  wameibuka washindi wa kwanza katika mashindano ya uimbaji kwa kwaya kuu (Reformation) katika kituo cha Mwenge
Kwaya hii imeibuka mshindi wa kwanza baada ya kushinda kwaya nyingine kumi zilizokua zinashindana katika kituo hiki cha Mwenge.Akitangaza matokeo hayo jaji mkuu (pichani juu) alisema mashindano ya uimbaji ya mwaka huu yamekua na ushindani mkubwa sana kwani kwaya nyingi zimeimba kwa ustadi mkubwa kitu ambacho kimewapa majaji kazi kubwa ya kuamua mshindi tofauti na mashindano yaliyopita

Washindi wengine katika kituo hiki ni;
Mshindi wa pili ni kwaya ya Usharika wa Wazo Hill
Mshindi wa tatu ni kwaya ya Usharika wa Mwenge zilizofungana na kwaya ya Usharika wa Mbezi Beach
Mshindi wan ne ni kwaya ya Usharika wa Magomeni ambayo ilifungana na kwaya ya Usharika wa Sinza
Na mshindi wa tano ni kwaya ya Usharika wa Msasani
Kwaya hizi saba ndizo zitawakilisha kituo hiki kwenye mashindano ya kumtafuta mshindi wa jimbo siku ya jumamosi katika Usharika wa Mbezi Beach zikichuana na washindi wa kituo cha Kunduchi

No comments:

Leave a Reply