Latest News


More

SEKTA YA MAGARI YAINUKA AFRIKA KUSINI

Posted by : Unknown on : Tuesday, October 22, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

Baadaye wiki hiiAfrika Kusini itakuwa mwenyeji wa maonyesho ya kimataifa ya magari.
Maonyesho hayo yatafanyika mjini Johannesburg na yatayokuwemo ni pamoja na watengeza magari kuonyesha miundo ya magari ambayo yanafaa kutumika katika mataifa ya kiafrika.
Licha ya msukosuko wa kiuchumi, sekta ya magari,imeoenekana kujikaza kisabuni kusalia sokoni kiasi cha kupanda kwa asilimia 5 katika miaka michache iliyopita

No comments:

Leave a Reply