Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

UKATILI WA KUTISHA: Mtoto wa miaka 11 aozeshwa kwa mbuzi 13

Posted by : Unknown on : Tuesday, October 22, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Imetokea Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa amchukua mtoto huyo aliyeolewa, aahidi kumsomesha.
Dodoma.
 Katika hali ya kawaida, binti wa miaka 11 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili), mkazi wa kijiji cha Kongogo, Wilayani Bahi mkoani Dodoma hivi karibuni aliolewa na binamu yake, kisha ndoa yake kuvunjwa na Serikali.
Hakuna taarifa nyingi za mabinti kuolewa katika umri mdogo katika wilaya hiyo mbali ya kuwepo kwa watoto wadogo ambao huondolewa katika masomo na wengine kushindwa kupata elimu kwa sababu wazazi wao huwapeleka migodini na wengine maeneo ya mijini kutumikishwa majumbani.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, anasema wilaya yake inaongoza mkoani hapa kwa kuwa na kiwango kikubwa cha vitendo vya ukeketaji wa wanawake ikiwa nayo ni sehemu ya ukatili wa kijinsia.
Lakini kwa tukio hilo, lililojitokeza katika moja ya familia ya wafugaji, kunaweza kukafanya umuhimu wa kujikita katika utafiti wa kina kuliangalia suala la kuolewa katika umri mdogo lina ukubwa gani mkoani hapa.
“Hazungumzi na mtu yeyote humu ndani na unaweza kumsemesha anakuangalia tu, ila anazungumza na mimi (Mkwasa), ama wasichana wawili tu wa hapa ndani ambao anashinda nao,”anasema Mkwasa ambaye sasa anamlea mtoto huyo

Maneno hayo yanathibitishwa na mwandishi wa makala haya, aliyefika nyumbani kwa Mkwasa kwa nia ya kuzungumza naye baada ya kupata taarifa ya kuwepo kwa mtoto huyo.
Anapoitwa kwa nia ya kutambulishwa, anafika mlangoni na kubaki akiangalia tu huku wakati mwingine akiinamisha macho yake chini na hata anaposalimiwa haitikii, badala yake anaondoka na kwenda kujificha ndani.
Hali hii iliweka ugumu katika kufanya mahojiano naye, lakini kwa usiri mkubwa inatubidi kumtumia mmoja wa wasichana ambaye amekuwa muwazi kwake kusikia nini kilichotokea.
Si kwamba hazungumzi, la hasha binti huyu ni mzungumzaji mzuri na tunapotoka nje na kuwaacha wawili ndani ya sebule hiyo tunawasikia wakizungumza na hata kucheka kwa sauti.
Mkwasa anasema siku za mwanzoni binti huyo alikuwa haongei na mtu yoyote lakini baada ya kuhudumiwa na mwanasaikolojia ambaye hufika nyumbani kwake kila baada ya siku tatu, alianza kuongea.
Akisimulia tukio hilo, Mkwasa anasema mtoto huyo alikutwa akizubaa na akiwa amechoka katika kijiji cha Mindola baada ya kutoroka kwa mwanamume aliyeolewa naye.
(Source:Gazeti la mwananchi)

No comments:

Leave a Reply