Habari zilizotufikia hivi punde kutoka jijini Mwanza zinasema bomu la kutengenezwa kwa mkono limelipuka katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Imani - Mwanza katika dayosisi ya DMZ na kumjeruhi mtu mmoja
Chanzo chetu cha habari kinasema bomu hilo linalosadikiwa limetengenezwa kwa mkono lilikutwa kwenye chumba kimoja katika eneo la kanisa hilo na alipojaribu kufungua likamlipukia na kumjeruhi mguu na sehemu ya uso na kwa sasa hivi amekimbizwa hosipitalini kwa matibabu zaidi
Tutaendelea kuwaletea habari zaidi kuhusiana na tukio hili
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: