Baada ya kuishi kama mke na mume kwa miaka 72, June na Norbert Rogers wakazi wa South Carolina wamefariki kwa siku moja wakipishana kwa saa moja, huku wakiwa wameshikana mikono
Wanandoa hao wote walizaliwa huko Lowa na kukulia katika mji huo.Wanandoa hao walioana mwaka 1941, wakati huo June alikuwa bado binti mdogo.Mama yake alisema ndoa hiyo huenda isingedumu , lakini wawili hao wameishi kwa miongo saba wakiwa pamoja na kufanikiwa kupata watoto watano
Mpaka mauti inawakuta June alikuwa mgonjwa huku mume wake akionekana kuwa mzima wa afya.Ingawaje alianza kufariko Norbert, lakini saa moja baadaye mkewe naye alifariki dunia
Norbert amefariki akiwa na umri wa miaka 97 wakati mkewe June amekufa akiwa na miaka 89
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: