Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

JINSI YA KUFURAHIA KAZI NGUMU

Posted by : Unknown on : Thursday, February 26, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :


Kazi Ngumu—Je, Imepitwa na Wakati?

Alex anahema anapojitahidi kunyanyua boksi na kupakia kwenye lori la kampuni. Anajiuliza hivi: ‘Kwa nini naendelea kufanya kazi hii ngumu? Je, kuna siku nitafanikiwa? Maisha yangu yangekuwa mazuri kama nisingelazimika kufanyakazi!’
Kama Alex, watu wengi leo hawafurahii kufanya kazi ngumu. Fundi wa magari aitwaye Aaron anasema hivi: “Watu wengi wanafikiri kwamba hawastahili kufanya kazi za hali ya chini. Wanafikiri kwamba wanafanya kazi ngumu kwa muda tu wakisubiri kupata kazi bora zaidi.”
Kwa nini watu wengi wanahisi kwamba hawastahili kufanya kazi ngumu? Huenda maoni yao yameathiriwa na vyombo vya habari, ambavyo mara nyingi hueleza kwamba watu wenye mafanikio ni wale wanaoishi maisha ya starehe, bila kazi ngumu. Fundi wa ujenzi aitwaye Matthew anasema hivi: “Watu wanadhani kwamba unapofanya kazi ngumu ili kupata riziki huna mafanikio.” Shane ambaye anafanya kazi ya usafi na utunzaji wa majengo anasema hivi: “Watu hawataki tena kufanya kazi ya kibarua ili kulipwa ujira wa siku moja tu.”
Kwa upande mwingine, watu wengi waliofanikiwa hufurahia kufanya kazi ngumu. Daniel, fundi wa ujenzi mwenye umri wa miaka 25 anasema hivi: “Kazi ngumu ni nzuri sana hasa inapomsaidia mtu kutimiza malengo yake.” Andre, mwenye umri wa miaka 23 anakubaliana naye. Anasema hivi: “Naamini kwamba furaha na kuridhika hutegemea kazi. Mtu asipofanya kazi hawezi kuwa na furaha, na mwishowe atakata tamaa!”
Hata hivyo, watu kama Daniel na Andre wamewezaje kuwa na mtazamo mzuri kuhusu kazi ngumu? Kwa ufupi, wamefuata ushauri wa Biblia kuhusu kazi. Badala ya kuwavunja moyo watu wasifanye kazi ngumu, Biblia inawatia moyo wafanye kazi kwa bidii na uvumilivu. Hata hivyo, Biblia haituambii tu kwamba tunapaswa kufanya kazi, bali pia inatueleza jinsi ya kufurahiakazi zetu.
Ni kanuni zipi za Biblia zinazoweza kukusaidia ufurahie kazi yako? Tunakualika uchunguze baadhi ya kanuni hizo katika makala inayofuata.

No comments:

Leave a Reply