Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

ANC ILIFUJA PESA ZA MAZISHI YA MANDELA

Posted by : Unknown on : Tuesday, January 28, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :
Upinzani nchini Afrika Kusini unataka uchunguzi kufanywa kuhusiana na madai ya ubadhirifu wa pesa zilizotengwa na chama hicho kwa matumizi wakati wa hafla ya mazishi ya hayati Nelson Mandela.




Matakwa hayo ya upinzani yametolewa baada ya taarifa za jarida moja kusema kuwa, sehemu ya dola elfu miatano zilizotengwa mahsusi kwa shughuli ya kuwasafirisha waombolezaji katika mazishi ya Mandela, zilitumiwa kwa shughuli nyinginezo ikiwemo kushonesha fulana za chama cha ANC



Chama cha ANC ambacho kimezongwa na kashfa za ufisadi hakijajibu tuhuma hizo.



Duru kutoka mji wa East London zimesema takriban dola laki tano zilitengwa kando kusaidia katika kuwasafirisha waombolezaji wakati wa ibada maalum ya Nelson Mandela.



Hata hivyo fedha hizo zilielekewa kwa kampuni nyingine ambazo hazikua zikitoa huduma za uchukuzi.



Diwani mmoja wa chama cha Democratic Alliance ameambia BBC kwamba zilitolewa risiti bandia.



Manispa hio imesema inasubiri ripoti kamili kuwasilishwa mbele yake mwishoni mwa mwezi huu. Utawala wa Rais Jacob Zuma unakabiliwa na uchaguzi mgumu mwaka huu wakati ukikumbwa na sakata nyingi za ufisadi.

No comments:

Leave a Reply