Latest News


More

FAMILIA YA MSANGI YATOA SADAKA YA KUMSHUKURU MUNGU

Posted by : Unknown on : Sunday, August 18, 2013 0 comments
Unknown
Saved under : ,

Familia ya Msangi jumapili hii wamemtolea Mungu sadaka ya shukrwani katika Usharika wa K.K.K.T (Mwenge) kwa mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia katika maisha yao.Katika shukrwani hiyo ndugu Emmanuel Msangi  na mke wake walimshukuru Mungu kwa kuwawezesha kufanikisha kufunga  ndoa yao.Pichani juu aliyevaa shati jeupe mbele ni Bwana na bibi Emmanuel  wakiwa madhabahuni wakimshukuru Mungu.Ndugu Msangi alisindikizwa na ndugu mbalimbali pamoja na baadhi ya washarika wa Usharika wa Mwenge






No comments:

Leave a Reply